Friday, 11 August 2017

UN YAWATAKA VIJANA WA KITANZANIA KUTOKATA TAMAA

Mwakilishi mkazi wa umoja wa mataifa ALL VARO LWEDRUGEZI [UN]  amewataka vijana wa kitanzania kutokata tamaa pindi wanaposhindwa kufanya vizuri kwenye miradi mbalimbali amesema haya kwenye mashindano ya vijana wa kitanzania waliofanya tafiti mbalimbali kwenye mradi ulioandaliwa na  NFPA na amewapongeza wale wote waliofanya vizuri ambako mshindi wa kwanza amepata milioni 15 fedha ya kitanzania ambayo sawa na dola 6000 umoja wa mataifa umeaidi kushilikiana bega kwa bega na vijana walioshinda na walioshindwa  lengo kuisaidia tanzania kuondokana na maradhi mbalimbali na kukuza uchumi wao pia amewashukuru UNFPA kwa kubuni wazo zuri lenye tija kwa vijana wa kitanzania  kwani limeongeza ajira kwa vijana na kuibu changamoto za afya ya uzazi


habari picha na VICTORIA STANSLAUS

No comments:

Post a Comment