Sunday, 27 August 2017

MWANDISI AJA NA SULUISHO LA UMEME MAJUMBANI

Mkurugenzi wa kampuni ya GEARED CONSULTING ENGINEERS LTD  WARDA ESTER amesema kampuni yao inatoa elimu kuusu maswala ya umeme asa katika kutofautisha rangi lengo kuondoa maafa yanayotokana na maafa yanayotokea majumbani na viwandani amesema haya kwenye maonyesho ya siku 2 kwenye ukumbi wa mlimani City jijini Dar es salaam wale ambao wanaitaji huduma kutoka kwao wanapatikana kupitia namba za simu 0718754694 au 0767654694 na ya mwisho ni 0785911260 kwa barua pepe md@geared-consult.co.tz  mwandisi WARDA ESTER ametoa wito kwa jamii kwa elimu na mafunzo bora  wawasiliane nao  kupitia namba zao za simu na barua pepe

habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment