Waziri wa elimu wa Zanzibar RIZIKI PEMBE JUMA ameipongeza tume ya vyuo vikuu Tanzania [TCU] kwa kuzingatia matumizi ya kanuni ,sheria na taratibu za nchi kwa kusimamia vyuo hapa nchini ndio maana vyuo vya hapa nchini vinatoa elimu bora pia amezipongeza taasisi za vyuo zinazowapeleka wanafunzi wa kitanzania kwenda kusoma nje ya nchi kwani wanasaidia katika kuelekea Tanzania ya viwanda amezitaka taasisi zinazowapeleka wanafunzi nje ya nchi kupunguza gharama kwani ni kubwa
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment