SANJAY RUGHANI amesema wamefanikiwa kwa asilimia 57 kwa kupata bilioni 27.9 kwa muhura wa kwanza ambako apo hawali walikuwa na bilioni 17.9 pia wameweza kuwa roni bilioni 100 na dipotizi bilioni 100 mkurugenzi mkuu mtendaji amesema kuwa karibu na jamii ,kuanzisha digitor,kutumia uzoefu wa mda mrefu na kuwa na nia ya kuisaidia jamii kwenye maswala ya maralia na kutoa huduma za macho ndio siri ya wao kupata mafanikio ametoa wito kwa jamii wainge mkono standard chardtered bank kwa kuwa wateja wao na amewataka serikali washirikiane na sekta binausi kwa kuleta maendeleo mpaka sasa standard chartered ina miaka 100 kwa Tanzania
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment