Saturday, 12 August 2017

ABDULI NJAIDI WA PSPF AKITOA NENO KWA WAZIRI

ABDULI NJAIDI  wa PSPF  asema PSPF wanatoa fursa kwa wanachama wao kwenda kusoma kwenye vyuo vya apa nchini na nje ya nchi baada ya kutembelewa na mgeni rasimi waziri wa elimu wa Zanzibar RIZIKI PEMBE JUMA  pichani kama inavyoonekana

habari picha na VICTORIA STNSLAUS

No comments:

Post a Comment