Barozi anaeiwakilisha nchi ya JAPAN nchini Tanzania amewataka watanzania wapige vita ,rushwa, maradhi na umaskini ndipo watapopata mafanikio makubwa pia amewasii vijana 8 wa kitanzania wanaoenda kusoma nchini JAPAN wazingatie na watekeleze kwa vitendo watakayo fundishwa amesema haya kwenye mkutano uliofanyika kwenye hotel ya PROTEA eneo la Upanga jijini Dar es salaam
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment