TABIA MASUDI meneja mauzo na masoko wa kampuni ya bima ya afya ya AAR amesema ifikapo mwaka 2018 kampuni yao itatoa bima za magari na zinginezo pia kwa sasa wamezinduwa mfumo wa kujiunga kwa kupitia simu ya mkononi lengo kuwafikia wananchi kwa ukaribu zaidi swala la kuwapa elimu watoto wa shule za msingi na watu wazima kuusu bima ya afya ya AAR ni kuwasaidia pindi watakapo jkuwa wanaumwa bima ya afya ya AAR ni bima bora na ni nzuri kwani inatoa huduma zao kwa bei nafuu na kwa wananchi wenye kipato kidogo TABIA MASUDI meneja masoko na mauzo wa AAR amweipongeza serikali kwa jitiada zao za kuelimisha jamii umuhimu wa kujiunga na bima za afya kwa kupitia wizara ya afya na wizara ya fedha ametoa wito kwa jamii wajiunge na bima ya afya ya AAR kwani ni bima inayotoa huduma boera Ameiomba serikali wazidi kuunga mkono makampuni ya bima ya afya hapa nchini
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment