MEDATI SOTA ni meneja miradi wa taasisi ya GLOBAL LINKI EDUCATION amewataka watanzania wajiunge na taasisi yao pindi wanapoitaji kuwatafutia watoto wao au wao wenyewe vyuo vya kwenda kusoma nje ya nchi kwani wao wanatafutia vyuo vinavyotoa elimu bora na yenye tija pia amesema lengo lao ni kuunga mkono rais MAGUFULI katika kuelekea Tanzania ya viwanda na Uchumi wa kati kwa kuwapeleka wanafunzi nje yanchi kwa gharama nafuu kwa wale wanao itaji kupata huduma zao wana patikama Mwanza, Arusha, Dar es salaam kwenye viwanja vya maonyesho vya sabasaba ndipo ofisi zao zilipo na wameenea kwa kiasi kikubwa Tanzania MEDATI SOTA meneja miradi amesema haya kwenye maonyesho ya vyuo vikuu yalioandaliwa na TCU jijini Dar es salaam wilaya ya Ilala viwanja vya mnazi mmoja
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment