Moja ya viongozi wa wanawake wa bara la Afrika amewataka wanawake wote wa Afrika walete mabadiliko makubwa kwenye ukuaji wa uchumi kwenye nchi zao za kiafrika na waachane kuwa tegemezi katika jamii zao kwani wanawake wana nguvu,akili,ujuzi ,maarifa na ubunifu mkubwa amesema haya kwenye mkutano wa siku4 uliofanyika nchini Tanzania jijini Dar es salaam kwenye hotel ya KILIMANJARO iliyopo POSTA ambako imejumuisha wanawake kutoka nchi mbalimbali za kiafrika ameipongeza nchi ya Tanzania kwa kuwatetea ,kuwajali, kuwathamini na kuwapa fursa mbalimbali za uongozi kwenye serikali na taasisi binausi wanawake wa kitanzania
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment