ANAELI EPAINETO MLIKARIA wa kampuni ya ujenzi ya AFRICA PREFABS Creating solutions amesema wamekuja na teknorojia mpya na yakisasa katika ujenzi wa nyumba za aina zote lengo kuimwezesha kila mtanzania na asiye mtanzania kumiliki nyumba bora na za kisasa ameongezea kwa kuwatoa ofu wateja wao kuwa ujenzi wao unatumia gharama ndogo na kwa muda mfupi asa kwa matirio bora na vifaa vya kisasa vyenye teknorojia mpya ametoa wito kwa jamii waweze kuwaunga mkono na ameiomba serikali waunge mkono na ofisi zao zinapatikana Mbezi biichi jijini Dar es salaam pia amewashukuru watanzania kwa kuwapokea kwa shangwe kubwa amesema haya kwenye maonyesho ya siku2 eneo la mlimani CITY
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment