ABDULSAMAD ABDULRAHIM amesema makampuni yote ya kitanzania yachangamkie fursa ya ujenzi wa bomba la mafuta kutoka nchini UGANDA eneo la oima mpaka chongoleani TANGA jumla kilometa 443 na gharama yake ni tilioni 8 na zaidi ya ajira elfu kumi zitapatikana ivyo ATOGS imepewa dhamana na serikali kusimamia makampuni ya kitanzania kupata mitaji katika kutekeleza ujenzi huu
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment