JUMANNE MTAMBALIKE mkurugenzi mtendaji wa SAHARA amesema wanaipongeza UNFPA kwa kuwasaidia vijana wa kitanzania kwa kufanya tafiti zenye tija ikiwemo kampuni yao ya SAHARA ambayo imefanya tafiti ya maswala ya ujasiliamali na afya ya uzazi kwani watanzania wengi wameelimika kupitia mradi wao amewapongeza UNFPA kwa kuleta mpango huu wa afya ya uzazi kwani umeibua changamoto nyingi za afya ya uzazi na zimeweza kupatiwa ufumbuzi na mradi huu umeongeza ajira kwa vijana JUMANNE MTAMBALIKE mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya SAHARA ametoa rai kwa UNFPA wazidi kuleta miradi mingi zaidi kwani ina tija kwa Taifa
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment