Wednesday, 9 August 2017

CUF YAWATAKA WAANDISHI KUTOA HABARI KWA UWEREDI

  Kaimu mkurugenzi mkuu wa habari na mawasiliano wa chama cha CUF amewataka waandishi wa habari walipoti  habari kwa uweredi zaidi amesema haya baada ya wanahabari kutoa taarifa zisizo sahihi kuusu mwabunge8 na madiwani 2 walio simamishwa bungeni baada ya mahakama kutaka shauri lao lisikilizwe upya na waandishi wa habari kusema shauri lao limetupiliwa mbali na mahakama kumbe sio kweli

habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment