GOZBETI KAMGISHA kutoka tasisi inayoshuurika na kuamasisha vijana wa kitanzania kupenda kusoma masomo ya sayansi amesema wameamua kufanya maonyesho ya wanafunzi wa shule za sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita tarehe 8 na 9 ya mwaka 2017 lengo ni kuwawezesha vijana hawa kuonyesha utaharamu wao wa kisayansi katika utafiti jinsi unavyosaidia kutatua matatizo kwenye jamii kwenye sekta ya Afya, kilimo na maji wanafunzi hawa wataambatana na walimu 100 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment