mratibu wa mashindano ya ndondocup SHAFII DAUDA na mkurugenzi mtendaji wa kituo cha AZAM TV TIDO MUANDO wakikabidhiana mkataba wa mwaka mmoja wakuonyesha mashindanoya ndondocup yatakayoanza tarehe17/6/2017 jijini dar es salaam ambako timu 32 zitashiriki
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment