Wednesday, 7 June 2017

MKUU WA WILAYA YA ILALA AMEWATAKA WADAU WAUNGANE KWA AJILI YA KUBORESHA MAZINGIRA

Mkuu wa wilaya ya ilala mama sophia mgema amewataka wadau waungane kwa ajili ya kuboresha mazingira, pia amesema serikali inatengeneza mtambo wakuchakata taka ambazo taka hizo zitatoa gesi, umeme na mbolea. Hivyo amewataka watanzania wachangamkie hiyo fulsa.

Habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment