Tuesday, 27 June 2017

RAIS MAGUFULI KUFUNGUA MAONYESHO YA SABA SABA YA 41

Waziri wa biashara,viwanda na uwekezaji CHAZI MWIJAGE amesema maonyesho ya saba saba ya 41 yatafunguliwa na rais MAGUFULI tarehe 1/7/2017 jumla ya makampuni 25oo yatashiriki maonyesho hayo na nchi 30 zitashiriki ivyo amewataka watanzania waweze kujifunza ujuzi kutoka kwa watu wa nje watakao shiriki kwenye maonyesho ya saba saba  amewapongeza TANTRADE kwa kuandaa vizuri maonyesho haya saba saba na kwakumuunga mkono rais MAGUFULI kuelekea Tanzania ya viwanda kwani washiriki wamejitokeza kwa wingi mno .amesema haya baada ya kumaliza kukagua mabanda kwenye viwanja vya saba saba wilayani Temeke jijini Dar es salaam

habari picha na  ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment