Naibu katibu mkuu wa wizara ya fedha na mipango DKT KHATIBU.M.KAZUNGU amesema wametoa kiasi cha bilioni209.5 kwenye banki ya kilimo ambako itasaidia kupatikana kwa pembejeo,kutengeneza maghara ya kuifadhia vyakula amewataka wakulima na wafugaji watumie pesa hizi vizuri
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment