Tuesday, 27 June 2017

UV CCM CHAMANZI WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWA UJASILI WAKE

ABDALA IBRAIM ni mwenyekiti anae maliza muda wake wa umoja wa vijana chama cha mapinduzi ccm kata ya chamanzi wanamuunga mkono rais MAGUFULI kwa ujasili wake kwakuwafichua mafisadi na kulinda rasilimali ivyo kwa pamoja wanamuunga mkono kwa asilimia mia moja hamesema ameweza kuwajengea uelewa watanzania kuusu mchanga  wenye dhahabu ulio kuwa unasafilishwa nje ya nchi  ametoa wito kwa jamii wamuunge mkono rais na wamuombee kwa Mungu ili apate moyo na nguvu ya kuzidi kufichua mafisadi


habari picha na VICTORIA STANSLAUS

No comments:

Post a Comment