Tuesday, 27 June 2017

KATIBU WA UV CCM AENDESHA UCHAGUZI WA MATAWI BILA MIZENGWEMIZENGWE TAKA YA CHAMANZI

STUKIA ALLY  katibu wa jumuiya ya umoja wa vijana ccm ameweza kuendesha uchaguzi wa umoja wa vijana wenye jumla ya matawi13 ambako uchaguzi ulikuwa wa uru na haki na sasa wanaelekea kwenda kwenye uchaguzi wa katibu umoja wa vijana na mwenyekiti kwa kata ya chamanzi ivyo ametoa wito kwa wagombea wote wasome katiba ya chama cha mapinduzi cha ccm lengo waweze kufaamu kanuni na talatibu za chama ili waachane na tabia ya kulalamika,kunung'unika na kuto susia matokeo pindi mshindi atakapo tangazwa STUKIA ALLY  ni katibu anemaliza muda wake kikanuni atogombea tena ivyo atagombea kwenye jumuiya ya wazazi amewaomba wanachamanzi waweze kumchaguwa tena kwani yeye ni mwaminifu,muhadilifu,mpambanaji,mpiganaji na mtetezi wa wanyonge


habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

No comments:

Post a Comment