Friday, 23 June 2017

KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHAISHUKURU KAMPUNI YA ITEL KWAMSAADA

Katibu mtendaji wa kituo cha kulelea watoto yatima cha CHAKUWAMA.  ASANI HAMISI ameishukuru kampuni ya itel kwakuweza kuwapa msaada wa chakula na vifaa vya shule kwaajili ya watoto yatima waliokoa kwenye kituochake amesema ukosefu wa pesa na malezi ni changamoto kwa kituo hicho ametoa wito kwa taasisi zingine ziweze kusaidia vituo vya kulea watoto yatima kwani watoto yatima ni watoto wanaishi kwenye mazingira magumu ivyo wanaitaji chakula,elimu pamoja na afya Pia ametoa wito kwaserikali ziweze kusaidia taasisi hizi kwani nazo zinafanya kazi kubwa za kulea watoto hawa CHAKUWAMA ni kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo sinza mori kina jumla ya watoto 60 wakike na wakiume wenye umri kuanzia mwaka mmoja na nusu hadi 19


habari picha na VICTORIA STANSLAUS

No comments:

Post a Comment