Mwenyekiti Salehe Abdallah Ndauga wa umoja wa wanazuoni wa Afrika kutoka nchini Tanzania amewataka Watanzania kuungana pamoja na kushirikiana kwa ajiri ya kukuza uchumi wa nchi yetu na kwakumuunga mkono Mweshimiwa Raisi Magufuri bila kujali itikadi za dini zetu pia ameitaka jamii ya kitanzania kuilinda amani na kuitunza amesema haya kwenye kongamano la siku mbili linalofanyika jijini Dar es salaam wilaya ya Temeke.
Habari picha
Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment