Friday, 6 December 2019

BODABODA YAPONGEZA TUME YA USHINDANI

Habdallah kiongozi wa bodaboda ameipongeza tume ya ushindani kwani vifo vya waendesha bodaboda vimepunguwa pia ulemavu unaotokana na bodaboda umepunguwa hii inatokana na tume ya ushindani kwa kushirikiana na LATRA pamoja na EWURA kwa kuwapa elimu wauzaji wa pikipiki na wauzaji wa Oili kuuza bidhaa zao zenye ubora na ushindani unaofaa kwenye masoko

Ametoa wito kwa yume ya ushindani kuongeza kasi kwa kutoa elimu na waendelee kwashirikisha waendesha bodaboda kama walivyofanya  siku ya ushindani duniani

Habali picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment