Mkurugenzi wa HLRC Anna Enga amewataka vijana kujikita katika kupinga na kupambana na ukatili wa kijinsia pia amewataka watanzania kutoa taarifa wanavyoona vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwemo kupigwa, maswala ya ubakwaji , ndoa za utotoni , ukeketaji na matendo ya ulawiti lengo la kutokomeza vitendo ivi ndiko tutafanikiwa katika siku za haki za binadamu LHRC inajivunia kwa watanzania kuwa huelewa wa kutoa taarifa umekuwa mkubwa ambako kauli mbiu inasema vijana simamia haki za binadamu
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment