Humphrey Moshi mwenyekiti wa tume ya ushindani tanzania bara amewataka watanzania na sio watanzania kufika kwenye ofisi za tume ya ushindani kwaajili ya kutoa malalamiko yanayousu maswala ya ushindani ya bidhaa bandia,wizi wa biashara za mtandaoni amesema haya kwenye kongamano la siku ya ushindani duniani kwenye ofisi ya tume ya ushindani jijini Dar es salaam
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment