Pichani waziri wa viwanda na biashara Inosendi Bashingwa akiambatana na mwenyekiti wa tume ya ushindani Humphrey Moshi alipotembelea siku ya kilele ya siku ya ushindani kwenye banda la tume ya ushindani kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini dar es salaam Inosendi Bashungwa akitia saini kwenye kitabu cha wageni kwa kudhiirisha kuwa amebariki na kukubali maonyesho na maazimisho ya siku ya ushindani duniani yalioandaliwa na tume ya ushindani ni mazuri na bora
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment