Sunday, 8 December 2019

VETA YAMUUNGA MKONO RAISI MAGUFULI KWA VITENDO

Kiongozi wa VETA amesema wanawaandaa vijana wa kitanzania kwa wingi lengo kwenda kufanaya kazi kwenye viwanda vinavyoanzishwa na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kuwafikia kwa wingi ametoa wito kwa watanzania kutohogopa kuurizia huduma zinazotolewa na VETA kwani kozi zao wanatoa kwa bei nafuu na wanatoa kwa mtu mwenye kiwango chochote cha elimu amesema haya siku ya viwanda na bidhaa za ndani sabasaba maonyesho jijini dar es salaam

Habari picha na  Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment