Hamza Jabir wakiri wa kujitegemea kutoka kampuni ya uwakir AVIS LEGAL amewataka vijana wa kitanzania wajitolee kwenye shuuri mbalimbali kwani ndiko kutawjengea kupata furusa mbalimbali za ajira na kutawasaidia kuwajengea uwezo wa kufanya kazi bila woga wala ofu amesema haya kwenye semina yakuwajengea uwezo mawakiri vijana kwenye hotel ya Ramada katika kilele cha maazimisho ya kujitolea duniani
Ambako uazimishwa kila ifikapo tarehe 5mwezi12 kila mwaka
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment