Bi Anna kutoka ofisi ya muendesha mashtaka (DPP) amesema kesi nyingi za ukatili wa kijinsia zinaishia njiani kwakuwa ndugu wanamalizana nyumbani na watu qaachane na dhana ya ofisi ya DPP kuwa awasimamii kesi za ukatili wa kijinsia ametoa wito kwa ndugu,wazazi na walezi kuipa ushirikiano ofisi ya DPP lengo kutokomeza maswala ya ukatili wa kijinsia nchini ameswma haya kwenye kilele cha kupinga ukatili wa kijinsia siku16 ambako uanza tarehe 25 mwezi wa 11 na kuitimishwa tarehe 10 mwezi wa 12 kila mwaka
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment