Mwenyekiti wa tume ya ushindani Humphrey Moshi amesema uhaba wa rasilimali watu,uchache wa fedha na upungufu wa teknorojia izi ndizo chanagamoto kubwa ambazo zipo kwenye tume ya ushindani ingawa ivi ni vikwazo kwao lakini wanakabiliana nazo katika kutimiza majukumu yao ya kila siku Mwenyekiti wa tume ya ushindani amesema kupitia kongamano la siku ya ushindani tume itaenda kutoa elimu kwa wananchi kuanzia ngazi za chini
Wataenda kuwapa elimu wafanyabiashara wadogo na kusambaza huwela kwa wananchi kazi za tume ya ushindani na majukumu yake lengo wananchi waweze kutoa malalamiko yao na changamoto wanazokutana nazo katika maswala ya ushindani pia kuongeza uzalishaji na wavutia wawekezaji mwenyekiti wa tume ya ushindani amezipongeza Taasisi zote zilizoshiriki siku ya ushindani duniani
Amemshukuru mh waziri wa viwanda na biashara Inosendi Bashungwa kwa ushirikiano wake na utendaji wake mzuri wa kazi amesema haya siku ya kilele cha siku ya ushindani duniani ilioazimishwa kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini dar es
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment