Monday, 5 December 2022

WAZIRI WA BIASHARA NA MAENDELEO YA VIWANDA ZANZIBAR AIPONGEZA TURN TRADE

 Omary Saidi Shabani Waziri wa biashara na maendeleo ya viwanda zanzibar ameipongeza TURN TRADE kwa kuwatafutia masoko wa wafanyabishara na wajasiliamali amewataka watanzania kutengeneza bidhaa zenye ubora kwaajili yakuuza kwenye bara la afrika ambapo jumla watu wapo bilioni 1.2 na waraji kwa afika ni 5.1% na ajira laki tatu kwani ifikapo mwaka 2025 sekta ya viwanda inatarajia kuchangia pato la Taifa 18% ambapo kwasasa inachangia asilimia 8% nae kwa upande wake makamo mwenyekiti wa bwe3edi ya TURN TRADE    ISSA SALUM SEIF amesema mpaka sasa wametoa mafunzo na elimu kwa wajasiliamali na biashara nae kwa upande wake mkurugenzi wa Turn Trade Latifa Mohamed amesema maonyesho haya ya saba ya bidhaa ya viwanda vya Tanzania vinawashiriki 502 ambao watapata fursa mbalimbali za kimasoko na kubadilishana ujuzi na technolojia huku akimpongeza dokta Rais Samia Suluhu Hassan kwakuwatafutia masoko wafanyabiashara wa kitanzania nae kaimu katibu mkuu wa viwanda biashara na uwekezaji Ally Kugugu amewataka wafanya biashara kufanya kwa vitendo mafunzo na elimu wanayopewa na TURN TRADE nae mwakilishi wa wafanyabiashara AMIRI HAMZA amemshukuru Dr. Samia Suluh Hassan wa kazi na jitihada wanazozifanya kwa wafanyabiashara kwani ametatua kero na changamoto nyingi.

Habari na AllyThabit

No comments:

Post a Comment