Tuesday, 28 January 2020

MAAFSA HABARI WA SERIKALI WACHIMBWA MKWARA

Mwenyekiti wa Chama cha  maafsa habari serikalini (TAJIKO) Pasko Shelutete amewataka maafsa habari serikalini waache urasimu pindi wanahabari wanapoitaji taarifa za wizara au taasisi za serikali Pia amewataka watoe ushirikiano wa kutosha Kwa wanahabari amesema haya wakati akiongea na Wana habari kwenye ukumbi wa Idara ya habari maelezo jijini Far es salaam wakati akizungumzia mkutano wao wa15utakaofanyika jijini Mbeya tarehe9 Hadi tarehe13 mwezi wa pili2020 Lengo kutathmini kazi za maafsa habari wa serikalini

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment