Ramadhani Muhamedi Meneja masoko wa wilaya ya Temeke amempongeza diwani wa kata ya Chamanzi mh Karata Kwa kupigania kuanzishwa Kwa soko la Mbande magengeni pia amempongeza Kwa kuweke umeme, stendi na kufika daladala ndani ya soko
Meneja masoko amewatoa ofu wanachamanzi kuwa changamoto za vyoo, biashara ya jumla,asilimia10 na ujenzi wa barabara manspaa ya Temeke itatatuwa ametoa wito Kwa wanachamanzi waache kufanya biashara barabarani
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment