Friday, 31 January 2020

CLOUDS MEDIA YAJA KIVINGINE MIAKA 21

Mkuu wa  maudhui wa Clouds Sebastiani Maganga amesema wameamuwa kuja na uongozi mkakati Lengo nikuwafungulia watu dunia na watu waweze kupata fulsa ya kujikwamuwa kiuchumi Kila mwaka kunakuwepo na changamoto na kunakuwepo na taratibu zake ivyo kunaitajika kuwepo na nyenzo,watu,mkakati inayoweza kutoa majibu ya maswali ya watu wanayojiuliza ivyo Sebastiani Maganga amewataka watu watumie kipindi cha asubuhi kwenye Clouds TV (Clouds three six ) nawatumia pratfrom kwaajili ya kujifunza pia amesema Clouds inawafungulia watu dunia Kwa kuongoza soko la maudhui ya taarifa na buruduni na Kwa sababu hii watu wa Kada mbalimbali watatimiza malengo yao kupitia Clouds Media amesema Aya jijini dar es salaam kwenye hotel ya Serena

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment