Dr Jastini ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Endelevu Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi amesema ni vema wana Ushirika wawatumie wataalam wanaotoka chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Lengo waweze kuendesha umoja wao wa Ushirika kwa uweredi ILI kuepuka migogoro ya Mara kwa Mara. pia chuo hiki kinafanya tafiti zenye Tija katika Jamii ametoa rai kwa Watu kujiunga na chuo kikuu cha Ushirika Moshi Kwani watapata Elimu popote walipo. amesema haya Kenye maonyesho ya 15 yalioandaliwa na TCU mnazi mmoja Jijini dsm
No comments:
Post a Comment