Veneranda Malima Afisa Mawasiliano Bodi ya Mikopo Tanzania amesema kupitia Maonyesho ya Vyuo Vikuu yalioandaliwa na TCU wamefanikiwa kutoa Elimu kwa kiwango kikubwa kwa watu waliokuwa wanadaiwa na Bodi ya Mikopo na matokeo ni mazuri . Pia wamewakumbusha wanafunzi wanaoomba Mikopo kwa mwaka wa Masomo mwaka2020 2021kukamilisha taarifa zao kwa wakati mfano vyeti vya kuzaliwa Ambavyo vimethibitishwa na Rita na vyeti vya Vifo vya wazazi wao na waviwasilishe kwa wakati na amewataka kutekeleza maagizo haya ya Bodi ya Mikopo kabla ya kufika kimono tarehe 10 mwezi9 mwaka 2020 wasipo Fanya hivi watakosa sofa za kupata Mikopo ambako app awali waliokuwa elfu14 waliokuwa awajawasilisha taarifa zao mpaka leo tarehe 5mwezi 9 2020 wanafunzi elfusita 6000 wamewakumbusha taarifa zao Bodi ya Mikopo hivyo Veneranda ametoa wito kwa wanafunzi elfusita nane8000 wawasirishe taarifa zao Bodi ya Mikopo haraka Sana ili wapate Fedha kwaajili ya kupata elimu amesema haya kwenye maonyesho ya 15 yalioandaliwa na TCU viwanja vya mnazi mmoja jijini dsm
Habari na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment