Mkurugenzi Mkuu wa Uhusiano DrMohamedi Maguo amesema Kuwa Chou Kikuu Uria
kimeanzishwa mwaka 1992 na kuanza kazi rasmi mwaka 1994 kwa sheria ya Bunge namba 17 ambako wanatoa elimu yao kwa masafa ya wakulima,wafanyabiashara,wavuvi na makundi mengineyo. Dr Mohamedi Maguo amesema Kuwa pia wanatoa elimu kwa makundi maalum wakiwemo watu Wenye ulemavu wakiwemo watu wasio ona Ambao wanajifunza kompyuta kundi hili nalo waweze kujiajili na kuajiliwa . Ametoa wito kwa watu kuwapatia watu wenye ulemavu fursa mbalimbali ikiwemo elimu ili waweze kujikwamuwa kiuchumi Dr Mohamedi Maguo Mkurugenzi wa Mawasiliano na Masoko Chuo Kikuu Uria amewataka watu wenye ulemavu na wasio na ulemavu kujiunga na Chuo Kikuu Uria amesema Jaya kwenye Maonyesho ya 15 yalioandaliwa
na TCUkimeanzishwa mwaka 1992 na kuanza kazi rasmi mwaka 1994 kwa sheria ya Bunge namba 17 ambako wanatoa elimu yao kwa masafa ya wakulima,wafanyabiashara,wavuvi na makundi mengineyo. Dr Mohamedi Maguo amesema Kuwa pia wanatoa elimu kwa makundi maalum wakiwemo watu Wenye ulemavu wakiwemo watu wasio ona Ambao wanajifunza kompyuta kundi hili nalo waweze kujiajili na kuajiliwa . Ametoa wito kwa watu kuwapatia watu wenye ulemavu fursa mbalimbali ikiwemo elimu ili waweze kujikwamuwa kiuchumi Dr Mohamedi Maguo Mkurugenzi wa Mawasiliano na Masoko Chuo Kikuu Uria amewataka watu wenye ulemavu na wasio na ulemavu kujiunga na Chuo Kikuu Uria amesema Jaya kwenye Maonyesho ya 15 yalioandaliwa
habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment