Ereni Mtui Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano Chuo Kikuu cha AFYAna SAYANSI SHIRIKISHI Muhimbili amesema katika kuunga juhudi za rais Magufuli wanatoa kozi 79 za Udaktali bingwa Lengo wapate wataalam wengi ili waweze kuwatibia watanzania
nchini na kuokoa fedha za Watanzania kwenda kutibiwa nje ya nchi pia chuo hiki kimefanya tafiti ya series mundu,HIV,material na tafiti zao zimesaidia kutengeneza Sera Bora na mzuri kwenye wizara ya Afya
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment