Afsa Masoko na Udahili Chuo Kikuu cha Umoja wa Mataifa Afrika Tanzania Stanley Mndasha amewataka watu kujiunga na Chuo Chao kwa kina fursa mbalimbali za ajila na kwenda kusoma nje ya nchi. amewatoa ofu kuwa gharama zao ni nafuu amesema haya Kwenye maonyesho ya 15 yalioandaliwa na TCU mnazi mmoja Jijini dsm
habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment