Friday, 4 September 2020

CHUO CHA UFUNDI ARUSHA CHAJA NA MIKAKATI MIZITO

Afsa Uhusiano Chuo cha Ufundi Arusha ndugu Gastoni amesema wanaunga mkono juhudi za rais Magufuli  kufika Tanzania ya viwanda chuo Chao Kinatoa diglee 5 na diploma13 na kozi fupifupi pia wanafanya tafiti mbalimbali kwaajili ya kutatua changamoto katika Jamii mfano .wana fimbo yaa kumuongoza mtu asiye ona. Lengo lachuo hiki kuandaa wataalam ILI waweze kufanya kazi Kenye viwanda vya  tanzania .chuo hiki kinashiliki maonyesho ya vyuo vikuu kwa Mara ya 11 Gastoni ametoa wito kwa wazazi kuwaimiza watoto wao kusoma Masomo ya sayansi na amewataka Watu kujiunga na Chuo cha Ufundi Arusha ILI waweze kupata ujuzi wa kujiajili na kuajiliwa amesema haya Kenye maonyesho ya 15 yalioandaliwa na TCU viwanja vya mnazi mmoja Jijini dsm 


habari Pichai na Ally Thabiti

 

No comments:

Post a Comment