Tuesday, 1 September 2020

ST JOHN'S UNIVERSITY OF TANZANIA KUSAIDIA UCHUMI WA VIWANDA NCHINI


 Chuo kikuu cha St john's university kimewaomba wanafunzi wote nchini waweze kujiunga na chuo hicho ili waweze kuungana na kauli mbio ya nchi ya kuweza kuinua uchumi wa viwanda 

Akiyasema hayo katika banda lao lililopo maeneo ya mnazi mmoja jijini dar es salaam amasema kua vijana wajitokeze kwa wingi waweze kusaidiwa kufanya maombi ili kuweza kujiunga na chuo hicho 

Habari picha na Ally thabiti

No comments:

Post a Comment