Mkuu wa TAKUKURU kutoka Temeke Ndugu Kesi amesema katika mapambano ya rushwa wameanzisha Mabaraza ya kupinga rushwa katika shule za msingi na sekondari . Pia amesema wameweza kuwajengea uwelewa wa wa w kupinga rushwa ameahidi kuwa swala la kutandika vipeperushi vinnavyozungumzia maswala ya rushwa wataandika Kwa Nukta Nundu ili watu wasio Ona washiriki kikamilifu katika mapambano ya rushwa uku akiwataka watu kupiga namba ya Simu 113 wakibainika Vitendo vya rushwa amesema haya kwenye kongamano la kupinga rushwa lililoandaliwa na Chuo cha KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KIGAMBONI jijini dsm
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment