Mkuu wa TAKUKURU Devota Miayo amewataka Wana Kigamboni wakibainika kuna swala la Rushwa iwemtu anaombwa au anatoa rushwa watoe taarifa Kwa kupiga namba ya Simu 113 ametoa wito Kwa watanzania vitaya rushwa si ya TAKUKURU peke Yao Bali ni ya wote kwani rushwa no adui wa haki amesema haya kwenye kongamano lililoandaliwa na Chuo cha KUMBUKUMBU ya MWALIMU NYERERE Kigamboni jijini Dsm
No comments:
Post a Comment