Meneja wa Matamasha wa Kampuni ya Vinywji vya COCACOLA Mwakabungu Edwadi ameutaka uongozi wa CRDB BANK waendelee kusaidia Makundi Maalim asa yenye Uhitaji kama walivyotoa fedha kiasi cha milioni mia mbili 200 000 000 .kwaajili ya Upasuaji wa Moyo Kwa Watoto Mia moja 100 kwenye taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Jijini Dsm amesema haya kwenye CRDB MARATHON
No comments:
Post a Comment