Makamu mwenyekiti na Mgombea Urais Kwa tiketi ya Chama cha CHADEMA Tundu Lisu amekionya tume ya Uchaguzi pamoja na watendaji wa serikalini wasisubu wala kujaribu kuwaengua Wagombea wao kama walivyofanya kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019 wakithubutu kufanya ivyo watanzania wataingia barabarani na chamoto wakipata amesema haya kwenye Mkutano wa Chama cha ACT Wazalendo
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment