Tuesday, 11 August 2020

BAKWATA YANYOOSHEWA KIDOLE

Hajati Amina ameitaka Baraza la kiislam nchini Tanzania (BAKWATA) wawashirikishe wanawake katika kupata furusa mbalimbali  ikiwemo furusa za kusafiri sehemu mbalimbali kwa ajili yakupata elimu waache kuchukuana wanaume tupu
Habari picha na Victoria Stanslaus
 

No comments:

Post a Comment