Afsa Vijana wa Wilaya ya Ubungo Bupe amewataka vijana nchini Tanzania kuchangamkia furusa mbalimbali ili waweze kujikwamua kiuchumi amesema haya siku ya maadhimisho ya vijana Duniani ambako uadhimishwa Kila mwaka tarehe12 Kila mwaka . Uku akiipongeza taasisi ya BABA WATOTO Kwa kutoa Elimu ya kujitangaza na mafunzo ya kujikwamua kiuchumi Kwa vijana na watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu
No comments:
Post a Comment