Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari wanawake (TAMWA) Rose Rubeni amesema rushwa ya ngono,lugha za kejeri na matusi, Sera za Ilani ndani ya vyama vya siasa wamebaini kuwa ni
vikwazo vinavyopelekea wanawake kushindwa kutia Nia katika Kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye Uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020 katika nafasi Ubunge,Udiwani na nafasi ya Urais Ingawa mpaka leo hii tarehe 12 Mwezi 8/2020 watia Nia Kwa ngazi ya Urais wanawake 2 na Wagombea wenza 5 Kwa wanawake. TAMWA wamebaini haya Kwa kushirikiana na GEPF WLDAFU na Asasi zingine za kiraia .ameitaka Tume ya Uchaguzi na Jeshi la Polisi na vyombo vya Urinzi na Usalama nchini kutoa adhabu Kali Kwa Mgombea ama Chama kitachotoa rugha chafu kwenye Kampeni Ususani Kwa wanawake ametoa wito Kwa vyama vya siasa waache kuwagawa wanawake Kwa kauli za kusema wanawake awapendani na pia ametoa Rai Kwa Tume ya Uchaguzi na Jeshi la Polisi kutekeleza na kusimamia kauli Kwa Vitendo za rais Magufuli kuwa Uchaguzi utakuwa wa huru na haki amesema haya Makao Makuu ya TAMWA Sinza Mori jijini Dsm Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment