Wednesday, 5 August 2020

MSAIDIZI WA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AZOMEWA NA KUZODOLEWA

Naibu Msaidizi wa Msajili wa Vyama vya Siasa ndugu Nyaoza wajumbe na wanachama wa ACT Wazalendo pamoja na wageni waarikwa amezomewa na ameonywa kuacha kuipendelea CCM .  haya yametokea kwenye Mkutano Mkuu Maalim wa chama cha ACT Wazalendo wakati wa Uzinduzi wa Ilani na kumchagua Maalim Sefu kupeperusha bendera ya Urais Nzazibar na Benadi Kamiliusi Membe Tanzania bara kupitia Chama cha ACT Wazalendo


Habari picha na Victoria Stanslaus 

No comments:

Post a Comment