Meneja wa Ukuzaji Biashara na Masoko Chares Nyori ameapongeza Uongozi wa CRDB BANK kwa kunusuru vifo vya Watoto 100 ambavyo vingetokana na matatizo ya Moyo. Kwa kuanzisha CRDB BANK MARATHON ambako milioni Mia mbili 200 ,000 ,000 .zimepatikana kwaajili ya kufanya Upasuaji wa Moyo Kwa Watoto Mia moja 100 kwenye taasisi ya Moyo ya JakayaKikwete huku akiaidi Kampuni Yao ya Bima SANLAM kushirikiana na CRDB BANK amewataka watanzania kutumia Bima zao kwani no Bora na gharama nafuu Mfano Bima za Afya na za Mali amesema haya jijini Dsm kwenye CRDB BANK MARATHON jijini Dsm
No comments:
Post a Comment